1. Mavazi ya Kiafrika
Kuna mavazi mazuri ya Kiafrika yanayoweza kukupendezesha na yalliotengenezwa Kiafrika.
Kuna mavazi ya Batiki, Kitenge na Kanga.
2. Mapambo
Katika mapambo kuna vidani, mikufu, bangili
na hereni zilizotengenezwa Kiafrika. Zipo
zilizotengezwa kwa kutumia Shanga, Vifuu,
Kanga au Vitenge.
3. Viatu
Kuna viatu vya aina tofauti tofauti ambavyo
pia vimetengenezwa Kiafrika. Vipo
vilivyotengezwa kwa shanga na ngozi, vitenge,kanga na batiki.
4. Mikoba
Kuna mikoba ya kike na kiume ambayo pia
imetengenezwa kwa batiki, ngozi, vitenge,
kanga na shanga.
5. Vipochi
Kuna vipochi vya aina tofauti na ukubwa tofauti ambavyo vimetengenezwa na nyuzi za
kufuma, shanga, vitenge, kanga, batiki na ngozi. Kwa ujumla, ukijipamba Kiafrika utapendeza kama hivi
_____________________________
JIPATIE MITINDO MBALIMBALI YA MAVAZI YA KIKE NA KIUME TOKA MMC FASHION…MAGAUNI,PENSI,SKETI,MISHONO MBALIMBALI MAGAUNI NA MASHATI NA SURUALI PIA….. TUCHEKI KUPITIA NAMBA 0654700661.
_____________
______________________
TOA MAONI YAKO KWA KUANDIKA HAPO CHINI
NDANI YA BOX LA COMMENT|MAONI USISAHAU KU-LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO ILI USIPITWE NA HABARI ZETU….
AHSANTE SANA KWA KUTUTEMBELEA…..
No comments:
Post a Comment