OFA BAAAAAB KUBWA

Sunday, June 7, 2015

VITU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUCHAGUA NGUO YA KUVAA UKIALIKWA HARUSINI.

dress6
Umealikwa harusini na haujui cha kuvaa? Kuna vitu muhima vya kuzingatia ningependa kukukumbusha.
  • Vaa upendeze, lakini usitake ku shine ukamzidi biharusi.
  • Usivae gauni nyeupe.
  • Heshimu tamaduni, mila na dini za watu. Usivae gauni fupi sana au wazi ukaonyesha cleavage yote nje.
  • Usivae viatu aina ya sneakers au sportshoes. unaenda harusi not gym.
  • Usivae shorts, hotpants au vipensi vifupi.
  • Usivae kandambili au yeboyebo.
  • Usivae nguo zilizo chanika, zenye matundu au madoa doa.

dressdress5dress2dress3dress461832_457820294282865_2118311168_n66111_558621020869458_887074544_n83685c5e2e5b05a84a275f0d33081e5a_fshtd55e2e7d98dd74b934d3c11d6486525b


KWA HUDUMA ZA SALOON KAMA VILE MAKEUP NA UPAMBAJI WA MAARUSI,UPAMBAJI WA KUMBI ZA SHUGHULI MBALIMBALI NA UANDAAJI WA KEKI PAMOJA NA KADI ZA HARUSI, WASILIANA NASI ROYAL FASHION DESIGN KWA NAMBA 0654700661

No comments:

Post a Comment

HARUSI | WEDDING OUTFITS

TUNASHONA NA KUDARIZI

Royal Fashion Tanzania

ZILIZOBAMBA ZAIDI

Lady in Red | Gauni nzuri,What a beautiful dress

 Karibu upendeze, Wasiliana nasi 0654700661 (Whatsapp)

ASANTE SANA KWA KUTUTEMBELEA. KARIBU TENA!