OFA BAAAAAB KUBWA

Tuesday, August 4, 2015

GOSSIPS AND SCANDALS: (Audio) Nuh Mziwanda ajibu tuhuma za sauti iliyosambaa akimtongoza Wema Sepetu, Shilole nae asikika|soma hapa

Jana kupitia U HEARD ya XXL sauti ya Nuh Mziwanda ilisikika akimtongoza Wema Sepetu, Leo Nuh Mziwanda amekanusha habari hizo na kusema kuwa sauti hiyo haikuwa yake na kumpa tuhuma Wema sepetu kuwa sauti hiyo imetengenezwa.
Nuh..........1
Leo katika U HEARD Nuh Mziwanda kafunguka kila kitu na amezungumzia namna gani jambo hili lilivyomuharibia kwa mpenzi wake Shilole, Hii hapa chini sauti ya Nuh mziwanda.

Click this button to listen/tp download|bofya kitufe hiki kusikiliza/kupakua




ENDELEA KUTUTEMBELEA HAPA KUPATA HABARI ZA MASTAA NA SKENDO KIBAO NDANI NA NJE YA BONGO KATIKA SEGMENT YETU YA GOSSIPS AND SCANDALS

 TU-FOLLOW INSTAGRAM ..BONYEZA HAPA

WHATSAP  +255 654 700 661



No comments:

Post a Comment

HARUSI | WEDDING OUTFITS

TUNASHONA NA KUDARIZI

Royal Fashion Tanzania

ZILIZOBAMBA ZAIDI

MITINDO / MISHONO YA KIKE NA KIUME YA ENGAGEMNT

Karibu Upendeze  WASILIANA NASI  Call / Whatsapp  0654700661   Karibu Upendeze  WASILIANA NASI  Call / Whatsapp  0654700661 Karibu Upendeze ...

ASANTE SANA KWA KUTUTEMBELEA. KARIBU TENA!