Pata kumjua na kujua kazi za Peter S. Walden – PSW mtanzania designer aliebobea kwenye nguo za wanaume, ambae ameshafanya mambo mengi sana nchini Marekani, China na nchi nyingine duniani kwa kazi zake zijulikanazo kama “Perfect Gentlemen”
Perfect Gentlemen by PSW mavazi ambayo yameonyeshwa kwenye maonyesho makubwa ya mavazi nchini Marekani kama New York Fashion Week (NFW), CHINA pamoja na collection yake ijulikanayo kama “The Last Suit” ndani ya DC FASHION Week International Couture Show. Angalia picha za kazi ya mikono ya PSW kuanzia michoro ya vazi. Fuatilia @peter_walden kwenye mitandao ya kijamii kuona zaidi.
{Know the Tanzanian born Designer Peter S. Walden who resides in America. Designer Peter S. Walden aka PSW of Perfect Gentleman by PSW suit during DC FASHION Week International Couture Show presenting his suit Collection called “The Last Suit”, see behind the scenes sketches and the final products. Designer Peter Walden has also showed his collections in NYFW, DC, China, just to name a few.} FOLLOW @peter_walden for more information.
ANGALIA KAZI YA MIKONO YAKE KUANZIA MCHORO MPAKA UKAMILIFU WA VAZI
No comments:
Post a Comment