OFA BAAAAAB KUBWA

Monday, August 1, 2016

Tusemavyo kuhusu Mishono ya Kitenge ( African prints)

KARIBU TUKUSHONEE MAVAZI BOMBA

KUTANA NA MAFUNDI WATAALAMU WA  KUSHONA NA KUDARIZI NGUO ZA MITINDO MBALIMBALI.TUNASHONA NGUO ZA VITENGE,WAX ORIGINAL,BAZEE,LINENI,MAKENZI, KWA MITINDO MBALIMBALI PAMOJA NA NGUO ZA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE SARE ZA MAOFISINI NA SARE ZA VIKUNDI MBALIMBALI, NGUO ZA HARUSI,NGUO ZA SEND OFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY NA NYINGINEZO.

 SASA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM NA TANGA TANZANIA. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0654700661 .NAMBA IPO WHATSAP PIA

Vitenge ni vizuri sana mi binafsi navipenda, kwanza ni fahari ya Uafrika wangu pili unaweza kushona nguo mbalimbali iwe gauni, suruali, blazer, sketi, top nk. Katika mitindo tofauti tofauti utakayoipenda na ukapendeza. Basi hapa nimekuwawekea mishono mizuri nimeigoogle, kuanzia nguo za kuvaa ofisini, harusini, matembezi ya jioni, kanisani nk. Unaweza ukachagua unaoupenda ukamletea fundi wako akushonee ,Mcheki kwa namba 0654700661.
imageimage
imageimage

image 
imageimageimageimageimageimageimage image

Changamoto wanawake tunayokutana nayo ni pale unapotaka kutoka una anza  kutafuta nguo kabatini, ni vizuri kujiandaa mapema unaweza jishinonea nguo zako kutokana na matukio utakayo taka kwenda kama nguo ni ya ofisini au kitctchen party. Ila ni muhimu kuja kwa mafundi wanaoeleweka, kama una fundi mzuri au unajua duka wanalouza vitenge vizuri karibu kwetu Royal Fashion Tanzania. Pia kama huna mishono mizuri unaweza kupata picha mbalimbali kwetu  .Wasiliana Nasi Whatsap 0654700661.

eunicemahundi.com
KARIBU TUKUSHONEE MAVAZI BOMBA

KUTANA NA MAFUNDI WATAALAMU WA  KUSHONA NA KUDARIZI NGUO ZA MITINDO MBALIMBALI.TUNASHONA NGUO ZA VITENGE,WAX ORIGINAL,BAZEE,LINENI,MAKENZI, KWA MITINDO MBALIMBALI PAMOJA NA NGUO ZA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE SARE ZA MAOFISINI NA SARE ZA VIKUNDI MBALIMBALI, NGUO ZA HARUSI,NGUO ZA SEND OFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY NA NYINGINEZO.

 SASA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM NA TANGA TANZANIA. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0654700661 .NAMBA IPO WHATSAP PIA

No comments:

Post a Comment

HARUSI | WEDDING OUTFITS

TUNASHONA NA KUDARIZI

Royal Fashion Tanzania

ZILIZOBAMBA ZAIDI

Lady in Red | Gauni nzuri,What a beautiful dress

 Karibu upendeze, Wasiliana nasi 0654700661 (Whatsapp)

ASANTE SANA KWA KUTUTEMBELEA. KARIBU TENA!