OFA BAAAAAB KUBWA

Friday, December 9, 2016

TAZAMA MITINDO NA RANGI ZA WASIMAMIZI WA HARUSI

TUNASHONA NA KUDARIZI NGUO ZA MITINDO MBALIMBALI.TUNASHONA NGUO ZA VITENGE,WAX ORIGINAL,BAZEE,LINENI,MAKENZI, KWA MITINDO MBALIMBALI PAMOJA NA NGUO ZA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE SARE ZA MAOFISINI NA SARE ZA VIKUNDI MBALIMBALI, NGUO ZA HARUSI,NGUO ZA SEND OFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY NA NYINGINEZO.

 SASA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM NA TANGA TANZANIA. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWANAMBA 0654700661 .NAMBA IPO WHATSAP PIA

WASILIANA NASI 0654700661

Moja ya mambo muhimu katika harusi ni wasimamizi wa bibi harusi. Unapaswa kuwa makini kuchagua rangi za wasimamizi wako wa harusi pamoja na mtindo wa nguo watakaovaa uendane na nguo yako ya harusi.
Zingatia eneo ambalo harusi yenu itafanyikia mfano, kama ni ufukweni ujue watavaa nguo gani kuendana na eneo hilo, vilevile rangi ziendane na ukumbi au nguo utakayovaa bibi harusi au rangi ya mwaka . Aina ya kitambaa ambacho watakivaa nalo nijambo la muhimu kuizingatia.
Vilevile unatakiwa uwemakini jinsi ya kuchagua viatu vya wasimamizi wako wa harusi .
  Kwa tips za kuchagua viatu vya harusi bonyeza hapa vilevile ujue ni mshono upi utakao wapendeza wasimamizi wako kulingana na maumbo yao jinsi yalivyo nalo ni la msingi kulifanyia kazi,
Kwa mifano mbalimbali ya mitindo na rangi za wasimamizi wako wa harusi angalia picha hizi.

TUNASHONA NA KUDARIZI NGUO ZA MITINDO MBALIMBALI.TUNASHONA NGUO ZA VITENGE,WAX ORIGINAL,BAZEE,LINENI,MAKENZI, KWA MITINDO MBALIMBALI PAMOJA NA NGUO ZA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA VILE SARE ZA MAOFISINI NA SARE ZA VIKUNDI MBALIMBALI, NGUO ZA HARUSI,NGUO ZA SEND OFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY NA NYINGINEZO.

 SASA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM NA TANGA TANZANIA. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI KWANAMBA 0654700661 .NAMBA IPO WHATSAP PIA

No comments:

Post a Comment

HARUSI | WEDDING OUTFITS

TUNASHONA NA KUDARIZI

Royal Fashion Tanzania

ZILIZOBAMBA ZAIDI

Lady in Red | Gauni nzuri,What a beautiful dress

 Karibu upendeze, Wasiliana nasi 0654700661 (Whatsapp)

ASANTE SANA KWA KUTUTEMBELEA. KARIBU TENA!