OFA BAAAAAB KUBWA

Saturday, November 28, 2015

FASDO TANZANIA YOUNG FASHION DESIGNER COMPETITION: FINALIST 2015

FASDO TANZANIA YOUNG FASHION DESIGNER: FINALIST 2015



Sketch 1
Sketch 2




KUWAPIGIA KURA WASHIRIKI BONYEZA HAPA



Royal fashion Tanzania Inawashukuru kwa dhati na inawapongeza  FASDO Tanzania kwa kuweza kujituma kwa hali na mali kuhakikishawanawapa Ari na hamasa vijana kufanya kazi na kujituma katika kutumia vipaji Vyao.Lakini pia tunaomba makampuni mbalimbali waweze kuchangia na kusapoti kwa hali na mali miradi hii yenye Tija kwa Taifa letu la Tanzania ,Bara letu la Afrika na Dunia kwa Ujumla.TUNAWATAKIA KILA LA HERI KATIKA MIRADI YENU ILI KUWEZA KUWASAIDIA VIJANA WENGI ZAIDI KUTIMIZA NDOTO ZAO



No comments:

Post a Comment

HARUSI | WEDDING OUTFITS

TUNASHONA NA KUDARIZI

Royal Fashion Tanzania

ZILIZOBAMBA ZAIDI

Lady in Red | Gauni nzuri,What a beautiful dress

 Karibu upendeze, Wasiliana nasi 0654700661 (Whatsapp)

ASANTE SANA KWA KUTUTEMBELEA. KARIBU TENA!