OFA BAAAAAB KUBWA

Saturday, November 28, 2015

TANZANIA YAMPATA MISS HERITAGE INTERNATIONAL 2015: WAKILISHA NCHI YAKO SASA KWA KUMPIGIA KURA MREMBO DIANA KAMI / MISS HERITAGE TANZANIA 2015 HAPA

Mhi 1




WAKILISHA NCHI YAKO SASA KWA KUMPIGIA KURA MREMBO DIANA KAMI / MISS HERITAGE TANZANIA 2015

KUMPIGIA KURA DIANA KAMI BONYEZA HAPA



      Kwa mara ya kwanza Nchi ya Tanzania inapata nafasi ya kipekee kushiriki MISS HERITAGE INTERNATIONAL ambayo fainali zake zitafanyika nchini INDIA tarehe 5 mpaka 13 December 2015 ikiwakilishwa na mwanadada DIANA KAMI @missheritagetanzania_2015 kutoka nchini Tanzania.Tafadhali mpigie kura kwa kuBonyeza kitufe hapo juu au kwenye BIO yake ya INSTAGRAM Kisha Tazama DIANA KAMI,bofya kitufe cha kilichoandikwa VOTE.

Img 20151005 wa0006
Diana Kami akionyesha mavazi ya ubunifu katika moja ya tukio la mitindo nchini Tanzania



Diana Kami Mshiriki wa Miss international Heritage katika pozi


Diana Kami Mshiriki wa Miss international Heritage katika pozi

Diana Kami Mshiriki wa Miss international Heritage katika pozi .


Diana Kami Mshiriki wa Miss international Heritage katika pozi


    Mshiriki wa Miss Heritage International kutoka nchini Tanzania DIANA KAMI anavalishwa na kusimamiwa na @royalfashiontz & @Vipajivingi_company… Tunaomba kwa moyo mmoja Sambaza ujumbe huu ili watanzania tuweze kuionesha dunia Urithi wetu wa nchi na uwezo wetu mkubwa katika sanaa yetu ya Tanzania. 


       Diana kami pia ni mwanamitndo anayekuja kwa kasi sana katika tasnia ya mitindo nchini TANZANIA na dunia.Wasiliana nasi kwa namba 0654700661.ROYAL FASHION MODELING AGENCY


KWA PAMOJA TUIPEPERUSHE BENDERA YA TANZANAI






No comments:

Post a Comment

HARUSI | WEDDING OUTFITS

TUNASHONA NA KUDARIZI

Royal Fashion Tanzania

ZILIZOBAMBA ZAIDI

Lady in Red | Gauni nzuri,What a beautiful dress

 Karibu upendeze, Wasiliana nasi 0654700661 (Whatsapp)

ASANTE SANA KWA KUTUTEMBELEA. KARIBU TENA!