OFA BAAAAAB KUBWA

Monday, January 9, 2017

Mwanamitindo Lupita Nyong’o Azidi Kulipa Heshima Gele huko Majuu,Atokelezea na Madini ya Tanzanite na Diamond ya $600,000

BONYEZA KULAY  HII VIDEO


queen-katwe-premier-3
Lupita Nyong’o kama ali break ze internet hivi ,kama hukuona well this is what happened.
Ni huko kwenye 2016 Toronto Film Festival ambapo Lupita ni star kwenye movie ya Queen of Katwe so for the premier she stunned in a House of Herrera dress ambayo ilikuwa na colors za kubamba yellow na nakshi au kudariziwa kwa maua ya blue
queen-katwe-premier-5
She made a grand entrance while smilling and shining like diamond .Alipendeza sana ,kilichovutia wengi ni hili GELE lake la blue alofunga kichwani queen-katwe-premier-8
I mean ilikuwa bonge ya statement piece  na chini akamalizia na blue stilettos na clutch yake .queen-katwe-premier-2
Lupita alioshinda Oscars mwaka na filamu yake ya 12 years of slave amekuwa akitu save na bonge za red carpet looks zilo enda shule one after another na bado anaendelea.
queen-katwe-premier-11
Baadae aka change into this dress
queen-katwe-premier-1
Dancing the night away ina blue .black and orange dress but ali keep her amazing gele on queen-katwe-premier-4
Co star mwenzake Madina Nalwanga alitinga african prints.queen-katwe-premier-10
Tunashona Nguo za Mitindo Mbalimbali Kwa ajili ya shughuli kama Sendoff.,Harusi,kitchen party nk. Kuweka oda na Maelekezo Mengine Wasiliana Nasi kwa Namba : 0654700661

Tazama Mashati na Suruali nzuri kwa ajili ya sendoff,Harusi na Mitoko mbalimbali ya jioni na mchana katika occassions tofauti tofauti.


No comments:

Post a Comment

HARUSI | WEDDING OUTFITS

TUNASHONA NA KUDARIZI

Royal Fashion Tanzania

ZILIZOBAMBA ZAIDI

Lady in Red | Gauni nzuri,What a beautiful dress

 Karibu upendeze, Wasiliana nasi 0654700661 (Whatsapp)

ASANTE SANA KWA KUTUTEMBELEA. KARIBU TENA!