Tunashona Nguo za Mitindo Mbalimbali Kwa ajili ya shughuli kama Sendoff.,Harusi,kitchen party nk. Kuweka oda na Maelekezo Mengine Wasiliana Nasi kwa Namba : 0654700661
Tazama Mashati na Suruali nzuri kwa ajili ya sendoff,Harusi na Mitoko mbalimbali ya jioni na mchana katika occassions tofauti tofauti.
Lets kick off Furahi day na mishono mikali kama 6 hivi ya african prints/vitenge.I believe kuwa huwa mishono haitoshi kila siku tunapenda kutafuta vitu vipya na designs mpya za kujaribu.

kitenge with a round color

max skirt mix na lace
pencil dress


peplum top

kitenge dress with cut outs


jumpsuit at its best
No comments:
Post a Comment